Mambo niaje? wana jf nahitaji ushauri wako mimi nilikuwa na girfriend wangu mtoto mwenye asili ya kitusi mtoto figa yamaana siku ya siku nikapata data kuwa anatafutwa na kiongozi mmoja waserikalin na waliokuja kuniambia niwale walikuwa wanatumwa nahuyo kiongozi katiyao mmoja alikuwa hapati maslahi katika kumsaka kimanz wangu hivyo akamua kuniambia ukweli,,hata hivyo akuishia hapo akaniambia kuwa kiongozi huyo tayari yuko affected na VVU nilihofu sana nikamwambia duwangu akabisha kuwa hamtambui huyo kiongozi na hujui kama anamtaka baada ya siku kadhaa nikapata full data kuwa duwangu amepokea pesa kutoka kwa huyo kiongozi hata nilipo muhoji majibu yake yalikuwa yakuteteleka sana nikamua kuachana nae! badae akaniandikia sms kuwa nampendea kiongozi huyo matunzo yake tu.duu bado ananikubali sana ila mm simtaki kabisa,,katokea jamaa anataka nimuunganishie stori nimempa lakn bado anataka tu.je ungekuwa wewe unaweza kufanya hivyo? jamaa anampenda kinoma duu kajaza nyuma mbaya mambo ya mic hafai ila tabia tu.,,someday