We andaa pilipili za kutosha tuu..naja aisee.....oooh jamani poleee, karibu sana my brother tujipe raha,
Arusha sehemu gn zinapatikana hivi vitu maana tunajua ukitaka nyama ya mbuzi ya uwakika ni kwa MUROMBO sasa tujuze na hii supu zinapatikana wapi au UNGA LIMITED?
maeneo ni mengi jamani sasa nikitaja hapa sitaambiwa kuwa natangaza biashara za watu?
Nikija A town lazima niku PM, nimependa supu ya makanyagio!oooh jamani poleee, karibu sana my brother tujipe raha,
Arusha sehemu gn zinapatikana hivi vitu maana tunajua ukitaka nyama ya mbuzi ya uwakika ni kwa MUROMBO sasa tujuze na hii supu zinapatikana wapi au UNGA LIMITED?
oooh jamani poleee, karibu sana my brother tujipe raha,
Hiyo mitura zamani nilikuwa nikifikiri ni zile 'private parts' za mbusi au ngombe. siku niliyokuja kuifahamu nilistaabishwa sana.
kweli hiyo thupu ni fresh wala siyo ya kukaa kwenye majokofu kwa muda mrefu. walio mbali na nyumbani (Tanzania) nafikiri wao ndiyo mate zaidi.
kweli raha ya thupu uchague mwenyewe.