Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,107
- 55,524
Kuwa na bibie mzuri ni sawa na kula chakula kizuri kwa kutumia sahani safi ya udongo inayovutia,na kuwa na bibie wa kawaida ni sawa na kulia chakula kizuri kwenye sahani ya plastiki.Wengi tunapenda kuhudumiwa kwa kutumia sahani nzuri inayovutia.Je wewe uko upande gani?