Mimi ni mliberali haswaaliberals vs conservatives
waliberal wanaamini katika uhuru wa mtu binafsi, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile anachoweza kufanya as long as hawadhuru watu wengine. walibaral wanaamini katika culture diversity, mjumuiko wa watu wa rangi tofauti tofauti na kaliba tofauti nk, ingawa wanaenda mbali zaidi hadi kusupport mambo kama lgbtq na abortion.
kwa upande wa conservative, wao waaamini katika kulinda mila na desturi. si watu wanaopenda sana mchanganyiko wa mila, na desturi za watu wengine, wanaamini matendo ya mwanadamu ni lazima yathibitiwe na si kila mwanadamu kua na uhuru wa kufanya jambo lolote hata kama halidhuru wengine.
Ingawa sikubaliani na mambo ya lgbtq+, kwasasa naunga mkono fikra za uliberali.
Mimi mliberali misiyeunga mkono maswala ya lgbto na ortionliberals vs conservatives
waliberal wanaamini katika uhuru wa mtu binafsi, kila mtu ana uhuru wa kufanya kile anachoweza kufanya as long as hawadhuru watu wengine. walibaral wanaamini katika culture diversity, mjumuiko wa watu wa rangi tofauti tofauti na kaliba tofauti nk, ingawa wanaenda mbali zaidi hadi kusupport mambo kama lgbtq na abortion.
kwa upande wa conservative, wao waaamini katika kulinda mila na desturi. si watu wanaopenda sana mchanganyiko wa mila, na desturi za watu wengine, wanaamini matendo ya mwanadamu ni lazima yathibitiwe na si kila mwanadamu kua na uhuru wa kufanya jambo lolote hata kama halidhuru wengine.
Ingawa sikubaliani na mambo ya lgbtq+, kwasasa naunga mkono fikra za uliberali.
Na ukiwaletea ujinga wana kukeketaHuku kwetu hao watuwajui wote wawili huku Kuna wakereketwa aisee usiombe ukutane nao
Wakereketwa na wafurukutwa bila kusahau machawa. Machawa yanasikiliza bosi anasemajeHuku kwetu hao watuwajui wote wawili huku Kuna wakereketwa aisee usiombe ukutane nao
Hahaha cocastic where are you?Shida ya maliberali ni kuhamashisha jamii yote iwe marindaless. binadamu lazima adhibitiwe hata kama marinda ni yake.
Mkuu umepoteaHahaha cocastic where are you?
Yeah kuna wenye wana elements za liberali sometimes wana maintain mila