Je wewe ni kibonge, soma inakuhusu...

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,745
14,657


Za jumapili

Oi wanna. .. kuna shavu hapa nataka kuwapa wale mabonge ya watu...

Kuna tamthilia inatengenezwa ya watu wanene a.k.a tipwatipwaz a.k.a Vibonye a.k.a tukunyemaz a.k.a Bongez a.k.a Tinginyaz

Kama wewe au ndugu yako ni KIBONYE au MNENE na anapenda kuigiza njoo inbox (dm) nikupe ramani ya uhusikani akapate shavu / kazi/ ajira

Masharti:
Awe mchangamfu, anamvuto, awe na vitukooo, Kibonge, Mtanzania, miaka 20 kwenda juu, haijalishi rangi, kabila wala jinsia, mleteeee...

Mwisho wa kupokea maombi Tar 3 Jan 2018

Ps:
Dada akiwa na msambwandaaa itapendeza zaidi

Kamatia fursa
[HASHTAG]#Hapakazitu[/HASHTAG]

Je wewe ni mnene/kibonge?! Uje dm tuongee kama unapenda kuigizaa


Kyalow Tarime one
 
Bonge, ana mvuto?

Nyinyi mnatafuta mawowowo tu.
Wowowo hata wewe unalo umelikalia

Ndio wanene wanavutia sana

Tatizo lako unapenda vimbaombao Ndio mana unalizwaaa
 

Attachments

  • Screenshot_2017-12-23-10-24-49-1.png
    Screenshot_2017-12-23-10-24-49-1.png
    733 KB · Views: 49
Bonge, ana mvuto?

Nyinyi mnatafuta mawowowo tu.
Ahsante kwa taarifa mkuu, ili wenye sifa hizo wachangamkie hiyo fursa wapate kutia grisi vyuma
Yupo ndugu ILA sitaki afanye kazi ya maana kama hiyo mungu apendi tafuta nduguyo asielewa dini ndio afanye upumbavu
Hahaha diet bye bye kumbe fursa zipo Aisee
Ngoja nimwambie shostito wangu mie nipo kati kati
nakuja shogaa .nina vituko balaa
nakuona nakuona Miss weweee


Njooni huku mumsaidie marehemu alieshindwa kutongozaaa Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

Na huku dadaenu anafumaniwaaa STORY: FUMANIZI LA UKUBWANI
 
Back
Top Bottom