Je wazee walikuwa sahihi katika hili?

Hawakuwa sahihi..

Sex inaanzia kwenye ubongo..so kama mmegombana hili haliwezekani..

Labda hawa wazee wangemaanisha "kubakana"
hahahah kwamba we ukizinguana na mamz wako hutaki kitobo kabisa.
 
Siku hizi wamegeuza k silaha za kutukomolea, basi ndio twajongea kwa changudoa kupooza.
Hahahaha sasa kuna raha gani una mke ila unaenda kupasua mayai kona Bar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aseee, inategemea na aina ya ugomvi !!!! Haiwezekani nimfumanie afu bado nimpe mzigo lazima ninune mpaka papuchini
 
Aseee, inategemea na aina ya ugomvi !!!! Haiwezekani nimfumanie afu bado nimpe mzigo lazima ninune mpaka papuchini
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† sio vizuri hivyo
 
Uko sahihi 100%, sex inasuluhisha ugomvi kirahisi sana.
Ila upate mtu romantic, yale mashamba hayatakagi hata kuguswa mkigombana 🀣🀣🀣 yanaleta beef ila mtoto flani mpole sana na romantic hapo ndio pa kuchukulia points.
 
Hawakuwa sahihi..

Sex inaanzia kwenye ubongo..so kama mmegombana hili haliwezekani..

Labda hawa wazee wangemaanisha "kubakana"
🀣🀣🀣 Kubakanaje huku mama anamwaga miuno feni akikamatiwa, sio wanawake wote wenye hulka ya kuzira mkigombana bali ni stupid few.

Nahisi hujawahi kukutana na mwanamke mpole au mkorofi sana ila mwenye hisia kali za kimapenzi ama sex mzee baba. Hawa wa hii kabila huwa hata mkigombanaje ila ukimvutia kwenye ulimwengu wa kwichikwichi anafurahia sana kiasi kwamba anapotezea ule ugomvi chap na kukupa ushirikiano wa nguvu. Gemu ikiisha na ugomvi umeisha mnacheka tu. Attention seeking ladies ndio wana hii tabia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…