my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Kweli tunasafari ndefu. Kwani uliwahi kwenda wapi na wapi ukawasikia wanaongelea kuhusu Maendeleo tu na sio ngono? Toa mifano ili story iwe ime balance
Wakiwa kwenye vyombo vya usafiri wanaongelea ngono. Wakiwa shuleni wanaongelea ngono,wakiwa kazini wanaongelea ngono, wakiwa hotelini wanaongelea ngono kila sehemu wanaongele ngono.
Hata kwenye nyumba za ibada wanaongelea ngono, sishangai Tanzania ni nchi yenye watu wenye low IQ maana watu wake hakuna wanalowaza zaidi ya ngono.