... Wadau, Kwanza Naoma Radhi Kwa Wale Nitakaowaudhi Kwa Hili!..........., Nimekuwa Nikiwaza Mambo Yanayoendelea Hapa Inchini, Kwamfano, Sakata La E P A, I P T L, Mabilioni Ya Uswizi, Madawa Ya Kurevya, Ujangiri,... Na Mpaka Sasa Bunge La Katiba Ya Ccm.. Imefikia Hatua Mpaka Mkuu Wa Kaya Anasema Kuna Baadhi Ya Majangiri Anawafahamu.. Tuhuma Zingine Kama Epa Hatujui Zinaishaje. Bunge La Katiba Ya Ccm Linasakanya Hela Zetu.! Hayo Niliyotaja Ni Machache Kati Ya Meng Yanayonifanya Nijiulize Hili Swali.. Hivi Sisi Ni Wapole Au Tushakuwa Mazuzu Tayari??
Wewe Mnyarwanda kumbe una uraia wa tanzania kupitia chadema.
Wewe Mnyarwanda kumbe una uraia wa tanzania kupitia chadema.
Wewe Mnyarwanda kumbe una uraia wa tanzania kupitia chadema.
achana nae huyo viroba vishamuhalibu sio myarwanda ni mchaga.Wewe Mnyarwanda kumbe una uraia wa tanzania kupitia chadema.
kuliko wewe unaefua ch-u---p-ii za Mshumbusi. By the way hivi umri wa Kibabu chenu alionao anaweza kumlizisha Jike mshumbusi au linachepuka na wewe?Unadhibitisha ulivyo zuzu hakika vijana wa ccm ni mazuzu.
watanzania kama wewe mna akili kama za nyumbu! mnapenda kuliwa na mamba!
achana nae huyo viroba vishamuhalibu sio myarwanda ni mchaga.
kuliko wewe unaefua ch-u---p-ii za Mshumbusi. By the way hivi umri wa Kibabu chenu alionao anaweza kumlizisha Jike mshumbusi au linachepuka na wewe?
Kenya walithubutu hadi kupeleka nguruwe bungeni, Tz huku mambo shwari tu ndo mana sasa hata King'wendu anautaka uwaziri.
Kenya walithubutu hadi kupeleka nguruwe bungeni, Tz huku mambo shwari tu ndo mana sasa hata King'wendu anautaka uwaziri.
Sio wote, tatizo ni elimu ya watu, wajinga wameongezeka watu hawajui kusoma na kuandika. mwaka ujao uchaguzi CCM wanakuja na staili nyingine maana wakija na kofia na fulana na kanga watu wameshazizoeasasa wanakuja na kali, unda sketi ya kijani, sidiria ya kijani, chupi ya kijani na raba za kijani, hapo kwanini wasipate kura.
Wewe Mnyarwanda kumbe una uraia wa tanzania kupitia chadema.