Je watamani kuwa graphic designer?

Je watamani kuwa graphic designer?

Joined
Mar 31, 2013
Posts
49
Reaction score
6
Kama unahitaji kujiajiri katika nyanja za mambo ya designing na printing unaweza kunitafuta kwa namba 0718 572 422 au 0754 570 510 ninatoa mafunzo kwa program za adobe photo shop, adobe indesign na adobe illustrator kwa tsh 300,000/ kwa programs zote.:A S angel::A S angel:
 
weka sample ya kazi zako ulizowahi kudisigne zaweza kunishawishi kukutafuta ili unipe ujuzi kwa hiyo pesa uliyoitaka
 
toa link ya kazi ulizo fanya au website uliyo design
 
Tupe ratiba ya kufundisha hizo program. Natuambie utatumia cs gani na computer ya aina gani na utafundishia wapi?
 
Offer offer: Kama unahitaji kujiajiri katika nyanja za mambo ya designing na printing unaweza kunitafuta kwa namba 0718 572 422 au 0754 570 510 ninatoa mafunzo kwa program za adobe photo shop, adobe indesign na adobe illustrator kwa tsh 200,000/= kwa programs zote.
 
Back
Top Bottom