Je! wanawake mnalijua hili ?

NOW NOW NOW!

Not to brag but, An egoistic personality is very unattractive na si sifa nzuri. kwakweli inamfanya mtu kuwa wa kudharauliwa. Wanaume wanavyopenda kuabudiwa, kunyenyekewa, kuwafanya wajione wao ndo wao!!! Ni kituko kwakweli dont you guys see?

wanawake wako kimya massaging your egos na nyie mnajiona yeeees kumbe ni kituko. Na atokee mwanamke sasa who tells it on your face "kiss my @$$", mwanaume anavyopanic na kukuita kila jina!!! hahaaaaa.

Mr. Golding is right.
 
yaan hata sijaelewa unangelea nini unajaza server tu!!!
 
Sure mwanamke ana nguvu kubwa sana, me sidhani kama tunahitaji Beijing conference ili kupata usawa....
Hakuna mwanaume superior mbele ya mwanamke....
Ndo nishasema...
 
chakii kama ni mwanaume basi wewe wa ukweli!!!na kama ke you are so lovely,hii kitu wanaume wengi hawa appreciate wanawake sijui ni kwanini?wanawake wajikubali kwanza kwa kila wanachofanya
 
Women are superior by being Women na Man are superior by being Men
Binadamu anajichanganya always akifanya demarcation.
 
chakii kama ni mwanaume basi wewe wa ukweli!!!na kama ke you are so lovely,hii kitu wanaume wengi hawa appreciate wanawake sijui ni kwanini?wanawake wajikubali kwanza kwa kila wanachofanya

I'm a man and that's the truth mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…