The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,204
Umeniwahi hawa jamaa inatakiwa tufanye namnaAudi yangu Mimi ni ccm
Hakika mkuu kushinda matakwa ya mwili inahitaji kuwa na nguvu ya kirohoMwili ni adui dhaifu sanaa... Ila ni vigumu kuushinda.. Uasherati, Ulevi, Ulafi.. Yote ni Tamaa za mwili... Mbali ya kuwa dhambi bali pia ukishinda tamaa za mwili unakuwa salama kiafya..
Utakuwa salama dhidi ya adui mwiliJe wamjua Adui yako .
Kumbuka Wewe ni roho.
Roho haifi ,inaishi milele yote ,
Adui yako ni Mwili na Nafsi.
Mwili na Nafsi ni marafiki.
Mwili na Nafsi huenda kinyume na roho inavyotaka.
Mwili unapenda majivuno,mwili unapenda kula ili ushibe,mwili hupenda ubinafsi na vyote vya mwilini,mwili unapenda uoe mke mzuuri,mwili unapenda sifa na vyoote vile vya kimwili.
Hivyo Adui yako sio shetani ,Wala mizimu,kama wengi wanavyodhani.
Upo mkuu??Umeniwahi hawa jamaa inatakiwa tufanye namna
Nipo mtaalam muda umekwenda majukumu yametuzonga mtaalamUpo mkuu??
Kitambo saana kiongozi
Ni kweli kabisaa.Nipo mtaalam muda umekwenda majukumu yametuzonga mtaalam
Kakufanya niniAudi yangu Mimi ni ccm