Nakumbuka kuna mmoja alimaliza DIT akajoin degree moja kwa moja-walikuja pata wakiwa second year baada ya kusota kwa mwaka mzima. Hopefully HESLB watakuwa wamerekebisha. Wao walikuwa wakiona Diploma hawaangalii kama ni direct from dip to deg wana assume mtu alikuwa anapiga mzigo.Chief so kwamba nn kuna mtuu kamaliza ordinary diploma anaunga degree ndomana nauliza
Samahani mkuu ili uwe mtu mzima inabidi uwe na miaka mingapi?maana kuna wale watoto wanaofaulu kwenda chuo wakimaliza o level kama vile must,arusha tech etc,nao wanakua kundi gani kwasababu nao wanakuwa wamemaliza diploma,Sahauuuuuuuu ww ni mtu mzima una kazi zako mikopo ya watoto walitoka shule
Tanx much chief I do understand ya...Nakumbuka kuna mmoja alimaliza DIT akajoin degree moja kwa moja-walikuja pata wakiwa second year baada ya kusota kwa mwaka mzima. Hopefully HESLB watakuwa wamerekebisha. Wao walikuwa wakiona Diploma hawaangalii kama ni direct from dip to deg wana assume mtu alikuwa anapiga mzigo.
Hawapati mkopo wenye stashahadaKama title ilivyo guyz nisaidieni kama kuna anae jua issue ya loan kwa waliomaliza stashada wanapatiwa au las?!!!
Ninachjua kwa wale Co wenye first class wanaoomba MD wanapata grant kabisa NA wale wenye upper sec wanapewa mkopo....sijui guideline ya mwaka huu maana zinabadilikaga kila mwakaKama title ilivyo guyz nisaidieni kama kuna anae jua issue ya loan kwa waliomaliza stashada wanapatiwa au las?!!!