Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,711
- 49,731
Nipo lindo hapa usingizi hauji kabisaupo lindo mkuu Leo?
Sawa mkuu walimu bado wamelala unonoNipo lindo hapa usingizi hauji kabisa
Wiki ijayo wataanza kuwa busy maana wiki hii wanapokea watoto wa form 1 na std 1Sawa mkuu walimu bado wamelala unono
Aaaah, kweliWiki ijayo wataanza kuwa busy maana wiki hii wanapokea watoto wa form 1 na std 1
Sawa. Haya niambie NEC wanaingiza pato kwa taifa?Sekta ya elimu haiingizi Pato serikalini yenyewe inatumia tu, ulitaka wafanane na madini, TRA, Bandari au Maliasili
We dogo ni kima.Sawa. Haya niambie NEC wanaingiza pato kwa taifa?
Diploma holder wa NEC mwenye mkataba wa permanent anamzidi mshahara mwalimu wa TGTS E na ana posho ambazo anaweza kuwalipa posho wakuu wa shule zaidi ya 3 maana posho za wakuu wa shule hazizidi 250k.
Tafuta la kujitetea, that's why tunawaita nyie wapumbavu.
Serikali ina taasisi takribani 450 hebu fanya utafiti wa maslahi ya wenzenu akili zenu zifunguke.
PCCB wanazalisha?
Nikutajie taasisi zingine zenye mishahara minono ingawa shughuli zao hazihusiani na uzalishaji?
Wewe mshahara wako ni sh ngapi? Tuanzie hapa kwanza.Sawa. Haya niambie NEC wanaingiza pato kwa taifa?
Diploma holder wa NEC mwenye mkataba wa permanent anamzidi mshahara mwalimu wa TGTS E na ana posho ambazo anaweza kuwalipa posho wakuu wa shule zaidi ya 3 maana posho za wakuu wa shule hazizidi 250k.
Tafuta la kujitetea, that's why tunawaita nyie wapumbavu.
Serikali ina taasisi takribani 450 hebu fanya utafiti wa maslahi ya wenzenu akili zenu zifunguke.
PCCB wanazalisha?
Nikutajie taasisi zingine zenye mishahara minono ingawa shughuli zao hazihusiani na uzalishaji?
Mshahara wangu haukuhusu.Wewe mshahara wako ni sh ngapi? Tuanzie hapa kwanza.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app