Akikujibu hapo kwa wanafunzi naomba unitag, naenda kuapa kwanza.Acha uongo wewe......
Mbona wanafunzi darasani muda wote wanahangaisha fikra zao lakini wanasinzia wakati wa vipindi??
Au wabunge wakati wa vikao vya bunge??
Kwa mujibu wa maelezo yako.Watu husinzia kutikana na maelezo ya hapo juu kwenye uzi
Kama sukari ndio chanzo cha usingizi.Chanzo cha usingizi ni sukari.. Wanga unapozidi mwilini mwako ndio husababisha usingizi.
Ndio maana unakuta watu wengi husinzia mara baada ya kula.
Ukitaka usipate usingizi, usile vyakula vya wanga.
Kama una wasi wasi na nadharia yangu, kaa siku mbili bila kula vyakula vya wanga wala sukari.
We kula nyama, maziwa mboga za majani nk, uone kama utapata usingizi.
Mwisho kabisa: Usingizi ni mtamu kwa kuwa unatengenezwa na sukari ambayo ni tamu!
Mm nimefungua nikijua napata shule kwamba ni nini kinasababisha mtu anasinzia nk kumbe napata kitu shallow namna hii? Any way hongera kwa kuanzisha uzi watakuja wanaojua kina GENTAMYCIN watuelimisheJe, unajua chanzo cha usingizi?
Usingizi hutokea kwa binadamu endapo atatulia kwa mda unao kadiliwa kufikia dk15 pasipo kutikisika, Mtu huyo lazima asinzie.
Nyongeza: pia ukitulia kwa mda huo pasipo kutikisika huku umefumba macho lazima asinzie mapema zaidi.
Ikumbukwe Usingizi ni tendo lisilo la hiyari.
😂Ngoja nijalibu😴
Watu wanalala wakiwa wanaendesha MaloriJe, unajua chanzo cha usingizi?
Usingizi hutokea kwa binadamu endapo atatulia kwa mda unao kadiliwa kufikia dk15 pasipo kutikisika, Mtu huyo lazima asinzie.
Nyongeza: pia ukitulia kwa mda huo pasipo kutikisika huku umefumba macho lazima asinzie mapema zaidi.
Ikumbukwe Usingizi ni tendo lisilo la hiyari.
Mbona kwenye gar watu husinzia huku gari inatikisika.Udingizi in uchovu was mwili, kuzidiwa kwa ubongo inabidi usinzie ili ubongo ujiupgrade.Je, unajua chanzo cha usingizi?
Usingizi hutokea kwa binadamu endapo atatulia kwa mda unao kadiliwa kufikia dk15 pasipo kutikisika, Mtu huyo lazima asinzie.
Nyongeza: pia ukitulia kwa mda huo pasipo kutikisika huku umefumba macho lazima asinzie mapema zaidi.
Ikumbukwe Usingizi ni tendo lisilo la hiyari.
Hv vitu huwa mnasoma darasan sema huwa hamuelew ipo hv usingiz husababishwa na cell pamoja homon zinazozalishwa pale unaporelax cell huwa zinapeleka taarifa kuwa mwili unaanza kurelax na baadh ya maeneo yanaanza kuzimwa mpaka syatem zote za hiar zitapozimwa ndo unalalaJe, unajua chanzo cha usingizi?