BIBLIA ILIPOSEMA "Enyi
Wanaume Ishini na wake zenu kwa AKILI" Mungu alikuwa anajua anachosema. Kama huna akili Mwanamke atakukoroga maisha yako yote na utaishia kusema "Women are so Complicated"
Wanawake huwa wanaongea vitu 'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'. Wanawake wanaweza kukwambia "Mi nataka Mwanaume anipende tu BHAASSS!! Ukidhani kwamba Upendo wako unatosha kwake UTAKUWA UMEFELI.
Wanawake wanahitaji vitu 4 na vyote VIENDE KWA PAMOJA (Perpendicularly), vitu hivyo ni
1.HELA
2.GOOD SEX
3.CARING MAN
4.MUDA
Kuna Wanaume wanajua
"Kusex" mwanamke anatosheka, na wana hela ila
WAKO BUSY... Hii factor ya wewe kuwa Busy tu itamfanya mtu mwingine mwenye Muda "Amtafune kiulaini kabisa" halafu
wewe utashangaa..."Mke wangu nampa kila kitu,hela za kila kitu nampa..YES, Amekaa muda mrefu uko bize unasaka hela na adui namba 1 wa Mwanamke ni
LONELINESS....
A lonely Woman can easily be
trapped by anyone.. hata House boy akimpa ATTENTION. Thanks