tatizo hasa heading zisizo na kichwa wala miguu. Imagine unafungua tech forum unakuta listing nzima ina heading kama "msaada harake, kwa anayejua hili, tatizo jamani, nimekwama nahotaji msaada, ...." Hapo unasign out tu. Yaani uanze kupitia moja baada ya kingine kuangalia ndani kuna nini na una dk 10 or so za kukaa hapo?
Siwalaumu Mods kwa kuwa hili ni tatizo la waandishi wenyewe ambao ndio sis member wenyewe.