je wajua?

je wajua?

M.2

Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
14
Reaction score
3
Arnold schwarznigger ni muwekezaji Tanzania ana hotel sumbawanga na anafika mara kwa mara Chukua hyo ndo natoka hotelin kwake tym hi tembea uone
 
Arnold schwarznigger ni muwekezaji Tanzania ana hotel sumbawanga na anafika mara kwa mara Chukua hyo ndo natoka hotelin kwake tym hi tembea uone

Weka picha na utuambie iko mtaa gani?
 
Mhhh!! Habari haijakamilika, taja jina la hotel. Ili ukweli na uongo ujitenge.
 
Mwenyewe nafahm mbna toka kitambo hotel inaitwa lupita ipo kipili nkas hko
 
Back
Top Bottom