Je,Wajua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,Wajua?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Apolinary, Nov 14, 2011.

 1. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Je wajua meya wa kichina katika zama hizi? Meya wa kichina alianza kuuvuruga mji wa Arusha mara baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana ambapo taratibu na kanuni za uchaguzi wa mayor zilikiukwa hali iliyosababisha jiji la Arusha kukumbwa na vurugu za kila mara.Je meya wako ni halali?
   
 2. W

  Wababa Senior Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata huku kwetu wapo wa kichina tena hawa wa ccm
   
Loading...