JE WAJUA?

Taa za kwanza kabisa za barabarani zilianza kutumika mwaka 1878 katika jiji la Paris, na zilikuwa zinatumia mshumaa na zilijulikana kama "Yablochkov candle".
 
Binadamu hana uwezo wa kutofautisha harufu pindi akiwa amelala usingizi. Mfano ukiweka pilau pembeni yake hatohisi harufu yoyote mbaka pale atakaposhtuka toka usingizini.

Ongezea nyingine.
Mbaka ×
Mpaka √
 
Choma kitu ndani kama hataamka nakuhisi moto
Umeona eee mimi mmoja wapo chumba cha jirani yangu mtoto aliwash godoro wakat wazazi wao wameenda mazoezin ilikua alfajil ujue nilistuka had na mwanangu moto ndio umepamba moto mosh mzito oxygen ya shida tuliamka aisee
 
Haiwezekani kamwe kumeza mate huku ukipumua (kuvuta au kutoa hewa)
 
umbali kutoka juma 3 mpk ijumaa haulingani na umbali kutoka ijumaa mpk juma tatu.
ukiwa kwenye clockwise direction only
 
Tunda la aina ya Apple huwa halizamagi kwenye mji.

Pia kuchez blues ukiwa unacheza na mwanamke mnene ni sawasawa kama unasogeza fridge
 
Binadamu hana uwezo wa kutofautisha harufu pindi akiwa amelala usingizi. Mfano ukiweka pilau pembeni yake hatohisi harufu yoyote mbaka pale atakaposhtuka toka usingizini.

Ongezea nyingine.
Huu ni uongo, nilisafiri kwenda kwenye sherehe kijiji cha mbali, pale kijijini tulilala kwenye room moja baada ya sherehe na uchovu mzito akawa amekuja jamaa mmoja na viatu vibichi kama vile alitumbukia mtaroni kwa mtogole, vhumba kilibadilika na kuwa kama choo cha shimo na wote tuliolala usingizi mle chumbani tulikuwa kama tumepuliziwa sumu, ilitulazimu kutoka na kulala nje.
 
Ubungo unafanya kazi sana usiku kuliko mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…