Je, wajua utofauti wa England, Great Britain na United Kingdom (UK)?

Hongera mtoa mada
Kwanini Nyerere hakuchukua huu muundo wa Muungano akatengeneza muundo ambao mpaka Leo hutuulewi

Raisi wa Jamhuri ya Muungano
Waziri mkuu wa serikali ya Tanganyika
Waziri mkuu serikali ya Zanzibar

Na hata wengine wakitaka
Waziri mkuu wa Burundi
Rwanda nk
 
muungano wao ni kama wetu,

PM Rush Sunak ni wa UK yote,

hapo hapo NI, Scotland na Wales wana viongozi wao wanaodili na masuala yao ya ndani (kama ilivyo Zanzibar),

England yeye hana watawala wake, yani viongozi wa England ndio hao hao wa UK.....kama ilivyo tanganyika
 
Nimecheka sana wakati unafahamisha kwa kuwataja kina Roney.., lakini nina swali mkuu mfalme wa Uengereza/London anahudumu kwa nchi ngapi katika hizo za muungano ulizozitaja
 
Kwanini huwa wamedumisha pumba za ufalme kwenye dunia ya leo, kwamba ufalme hachaguliwi ila unapokezwa kupitia urithi.
 
Safi sana . Na kwa kuongeza ni kwamba zaidi ya asilimia 60 ya marais wote waliotawala marekani wana asili ya taifa la Wales.
 
Somo zuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…