Je wajua vitu vifuatavyo haujavichagua katika maisha yako:-
1. Wazazi wako,
2. Jinsia yako,
3. Jina ulilopewa na wazizi wako,
4. Race yako (Yaani kua Mhindi, Mzungu, Mwarabu au Muafrika),
5. Bara, Nchi , Mji au Hospitali au Sehemu Uliozaliwa,
6. Siku ya Kufa.
7. Mtoto utakae Mzaa,
8. Umbile lako, yaani Urefu au Ufupi,
9. Umri utakao ishi Duniani na
10. Maadui zako.