Je wajua Mamba hana ujanja wa kuchomoa ulimi wake kama vile tufanyavyo sisi binaadam mfano tukiwa tunanaramba kitu, au mfano kama anavyofanya Paka au Mbwa wanapokuwa wanajisafisha au wanapokuwa wameachia midomo yao wazi
the way ulivosema kama vile ni mtoto wa kiboko tu ndie anaeweza kunyonya akiwa majini...lakini umesahau kuna watoto wa nyangumi,au kwa kiboko kuna upekee upi mdau?? ndo hapo naomba unieleweshe..wala sio ugomvi ndugu yangu...
je wajua mpaka kufkia juzi thread hii ilikuwa na page ishirini ?? cha ajabu mpaka sasa zipo page 17 ...so moderators wanapunguza pages au nini?? wajua hilo??