Mimi nataka kiwa kinyume, nimechola kukaririshwa.
Kama tunaanza na elfu inafuata elfu kumi, kisha laki. (kumbuka laki).
Kisha million milioni kumi kisha milioni mia (kumbuka million mia).
Kisha millon mia billion moja halafu billion mia.
Sasa kama kila naada ya kumi ni mia kwanini kumi ya mwanzo ilipewa jina??. yaani laki.
Baaaasi nopewe jina la millioni mia ndio tuelewane.
NIMAWAZO TU WANAJAMVI MSINITUKANE NIMECHOKA NA MAJANGA YA KI KWE Teeeee