Je, wajua kuwa kondom zina 'size' ila asilimia 99.99% ya watumiaji hawafahamu?

Ze burner

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
514
83
Watu wengi hawafamu hilo kwa kuwa:

1. Size haiandikwi kwenye pakiti.
2. maandishi yanayotumika ni madogo na yamefifia na
3. huandikwa mwishoni mwa mikunjo ya kifaa kicho ambapo watu wengi huwa hawaikunjui hadi mwisho kwa kuwa hawana uwezo wa kufanya hivyo.

Nakujuza tu ili utafute saizi yako.
 
Je,wajua pia wachina wakija Bongo wanashindwa kutumia condom zilizoko huku wakisema ni oversize kwao na zinawafanya wakivaa zinakua mlegezo/mtepeto

Source:Nurse alisema
 
Watu wengi hawafamu hilo kwa kuwa:

1. Size haiandikwi kwenye pakiti.
2. maandishi yanayotumika ni madogo na yamefifia na
3. huandikwa mwishoni mwa mikunjo ya kifaa kicho ambapo watu wengi huwa hawaikunjui hadi mwisho kwa kuwa hawana uwezo wa kufanya hivyo.

Nakujuza tu ili utafute saizi yako.

Wanafanya hivyo kumkomoa au kwa faida ya nani
 
Back
Top Bottom