Je waijua Korea Kaskazini?

Hiyo ni kweli watu wanasema wana silaha za kizamani lakini wana siri nzito sana usisahau silaha huwa wanaunda wenyewe
 
Hiyo ni kweli watu wanasema wana silaha za kizamani lakini wana siri nzito sana usisahau silaha huwa wanaunda wenyewe
Si kwa uchumi ule..hiv unajua watu wa korea wana maisha magum hata bongo uskute tunaenda sawa...sasa unakuaje na silaha nzito kwa uchum huo,labda kama anahongwa ma russia au china,na hawawez fanya ujinga huo
 
Ndio wana maisha magumu hakuna anaekataa
Ila asilimia 80 ya pato lao la Taifa linakwenda jeshini
 
Kwa mujibu wa historia ni kuwa hata Japani walipovamia korea ni kwamba upande wa kaskazini uliwapa tabu sana kuutawala kiasi kwamba wao waliweka sheria zao na Wajapani kuweka zao kiasi kwamba kila aliekuwa akizikiuka sheria walizowekeana kama makubaliano adhabu zilitembea
Wajapani walijikuta wakiadhibiwa sana kuliko wakorea
 
Wakati korea wakiingia Japani 1910
Upande wa kaskazini ulijitangazia uhuru 1919 hii ilitokana na mapambano yao ya ndani kwa ndani na Wajapani
 
Baada ya kombora la Jumanne
Kiongozi wa korea kaskazini ahimiza majaribio zaidi katika Bahari ya pasifiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…