eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
안넝하심니가? Yako tayar ushapambana nayo?Hari=× , Hali= √ pamban a na hali yako[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisaNdiyo nchi isiyo na wanafiki kama nchi zingine
Ni kweli kabisa wavulana kwa wasichana wote inawahusu hii
Milioni nne ni idadi ya wabeba silaha wakati wa vitaMku kama kuna sehemu nilisoma kwamba idadi ya wanajeshi ni takribani million 4 na umesema molion moja
Sent using Jamii Forums mobile app
milioni 1na laki moja ya wanajeshi inajumuisha hukoAhsante kwa ufafanuzi ..tuseme kwamba wamejumisha na militia force
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna jeshi duniani lina idadi ya askari milioni 4Mku kama kuna sehemu nilisoma kwamba idadi ya wanajeshi ni takribani million 4 na umesema molion moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio uhasama wa kibinadamu ulivyo