Lakini mbona moto wa Hamas ni mkali sana wakati wamefungiwa kuanzia nchi kavu, baharini na angani?Nadhani kama wargner wangekua wapo pale wangeonekana ama wangejulikanika tuuuu
Labda iwe walienda kutoa somo halaf wakasepa
Walijipanga mzee nandio maana wakaamua KukiwashaLakini mbona moto wa Hamas ni mkali sana wakati wamefungiwa kuanzia nchi kavu, baharini na angani?
Wagner wangekuwepo hapo Gaza, sasahivi hii vita ingekuwa inapiganwa ktk mitaa ya Tel Aviv. Mashoga wangekuwa wanapigana kwa kurudi nyumaHabari wakuu.
Mwishonimwishoni mwa mwaka 2023 NATO walilalamika sana kwamba wanajeshi wa kujitolea wa Wagner waliokuwa nchini Ukraine alafu wakapelekwa Belarus walipotea ghafla mbele ya macho ya satellite za NATO pasipo kujulikana walipoenda...
Ndio ujiulize, tena wamefungiwa kwa miaka 17 lakini taifa leule na jeshi bora dunia linaumbuka mchana kweupeLakini mbona moto wa Hamas ni mkali sana wakati wamefungiwa kuanzia nchi kavu, baharini na angani?
Sababu kubwa ni moja tu, Hamas wana ngao za binadamu (human shields) ndani ya mashimo, yaani wale mateka. Bila hivyo mahandaki yote yangeshalipuliwa, kufukizwa sumu au kujazwa maji kitamboNdio ujiulize, tena wamefungiwa kwa miaka 17 lakini taifa leule na jeshi bora dunia linaumbuka mchana kweupe
Alafu kweliWagner wangekuwepo hapo Gaza, sasahivi hii vita ingekuwa inapiganwa ktk mitaa ya Tel Aviv. Mashoga wangekuwa wanapigana kwa kurudi nyuma
duh wagner hii hii inayopigana na waislam huko Afrika ya kati kwa mwaka sasaWagner wangekuwepo hapo Gaza, sasahivi hii vita ingekuwa inapiganwa ktk mitaa ya Tel Aviv. Mashoga wangekuwa wanapigana kwa kurudi nyuma
Hizi propaganda tu, Hamas wanarekodi kila kitu hii vita ipo live kila tukio lina video, sijaona hata sehemu moja wakitumia watu, ni skilss tu za IDF ni ndogo wanauliwa kizembe sana, unakuta wapo uwanjani wamerundikana kibao ama wanatembea tu mtaani bila shield wanadunguliwa na snipers.Sababu kubwa ni moja tu, Hamas wana ngao za binadamu (human shields) ndani ya mashimo, yaani wale mateka. Bila hivyo mahandaki yote yangeshalipuliwa, kufukizwa sumu au kujazwa maji kitambo
Ni kweli skills tu idf hawana sasa ww fikiria wana maj general ana miaka 23 sasa huyo uzoefu katoa wapiHizi propaganda tu, Hamas wanarekodi kila kitu hii vita ipo live kila tukio lina video, sijaona hata sehemu moja wakitumia watu, ni skilss tu za IDF ni ndogo wanauliwa kizembe sana, unakuta wapo uwanjani wamerundikana kibao ama wanatembea tu mtaani bila shield wanadunguliwa na snipers.
Israel hiihii inayowalenga hadi madaktari wasio na mipaka, shule na hospital ndio iogope kulenga mahandaki?Sababu kubwa ni moja tu, Hamas wana ngao za binadamu (human shields) ndani ya mashimo, yaani wale mateka. Bila hivyo mahandaki yote yangeshalipuliwa, kufukizwa sumu au kujazwa maji kitambo
Endelea kujizima data.Hao Wagner wamewahi kumpiga nani.
Lakini mbona moto wa Hamas ni mkali sana wakati wamefungiwa kuanzia nchi kavu, baharini na angani?
Ha ha ha wanakua kama wavietman kwenye movie ya Rambo kama sinakosea!!!!Hizi propaganda tu, Hamas wanarekodi kila kitu hii vita ipo live kila tukio lina video, sijaona hata sehemu moja wakitumia watu, ni skilss tu za IDF ni ndogo wanauliwa kizembe sana, unakuta wapo uwanjani wamerundikana kibao ama wanatembea tu mtaani bila shield wanadunguliwa na snipers.
Muulize mmarekani na washirika zake kichapo walichopea Allepo Syria.Wazungu ni wazuri kwenye vita vya juu na vya mbali mbali na sio vya man to man,mtaa kwa mtaa.Hao Wagner wamewahi kumpiga nani.