Je, ving'amuzi vimeanza kutoa huduma za bure?

Je, ving'amuzi vimeanza kutoa huduma za bure?

shinji majige

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
560
Reaction score
214
Naombeni kuuliza au kupata mrejesho kuhusu vingamuzi kutoa huduma za bure.je,vimeanza kutolewa km TCRA walivosema?
Je,wameanza kutekeleza?
 
ndia mfano ting,digitek na continental wao n bureeeerrr
 
Hawa startimes mpaka muda huu bado. Nadhan wanataka wawadhihirishie Watanzania kwamba wao wana dharau sana.
 
Back
Top Bottom