Je, vijana wa CHADEMA wamechoka au kuna mgomo baridi?

Mods jamaa kadai mapicha picha nami nimemwagia ya kutosha kukata kiu yake mbona mumeyafuta? Wacheni hizo bana.
 
Chadema takataka kwa mujibu wa Boniface, cheo cha meya amelifanya ni jina lake
 
Kila wakati na kitabu chake, Chadema ime graduate mambo ya kupost picha za mikutano tumewaachia kina jingalao wajifurahishe this time Chadema inapiga kimya kimya.
Kweli kila kitabu na wakati wake.
Nikiikumbuka hamasa za chama chetu enzi za Dr!
Sugu angekuwa kishatolewa zamaaaaaani.
 
Wewe hata wakianza tena kurusha picha za mikutano hapa jamiiforums, utatafuta sababu ya kukubaliana tu!

Nimekusoma kwenye mabandiko yako ya nyuma.
Huyu jamaa hajui hata anachosimamia.Anabeba dhana nzima ya NYUMBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…