na je, hyo transiformer ya 110v nkichomeka device ya 120v sio tatizo?
huwa inakuwa hivi ' 220v 240v to 110v 120v' kama upo dar waone KVD wapo postana je, hyo transiformer ya 110v nkichomeka device ya 120v sio tatizo?
asante kwa ushauri mkuuHiyo mashine inatumia powersupry sio transformer ingejuwa transformer sasa hv hapa ungeongea mengne
Fanya mpango upate transforma itakayonyambulisha umeme toka 220 kuja 120 kabla capacitor hazijafumuka hizo ukaua mashine hiyo
Ikiwezekana usitumie mashine mpk upate transformer
Tena nzuri ni za kusuka ni bora na ghalama nafuu zaudi
ni photocopy mashine specification zake ni 120V, 60Hz na 7.5AJua kifaa chako kinatumia power kiasi gani, halafu tafuta hiyo transformer kubwa kidogo zaidi ya hicho kifaa chako.
Jambo la pili mara nyingi 110V, frequency zake ni 60Hz, na za 220V ni 50Hz angalia hilo pia, hususan kama kifaa chako kina motor
asante mkuu
Upo DSM kama upo DAR natengezeshaga kwa jamaa mmoja yupo VINGUNGUTI huwa anasuka mitambo ya viwandani sasa anakaofisi kake VINGUNGUTI jioni nikipita nitachukua namba yake nitakutumia mkuuhiyo ya kusuka napata wapi mkuu