ichana kumbe ww ni economist? safi sana...!! bila shaka family yako ina raha.. debts za hovyo hauko nazo bila shaka!!
Ha ha ha ndo manake hapa umefika..
Gd nyt yoo
Ni kweli Excel lakini ni wachache sana hukutania hapo,yan ni wachache,sas hapa tunazungumzia wale weng wasiokutania hapoili mambo yaende sawa kati ya wawili.. lazima kuwe na equilibrium point..
ili ku-avoid excessive love na deficity love!!
equilibrium ni muhimu ili msilizane kabisa ndoani!
katika point p na q, hapo ndipo love ilipo! endapo hamtokutania hapo, lazima mtagombana kila leo!!
Thats my Patna umeniogopesha kwa haya mapenz ya dhati kwa wanawake,yameanza lni Patna?bora nioe ninayempenda. nikioa anayenipenda nitamtesa sana maana nitakuwa nagegeda nje ile noma nikijua hawezi niacha maana ananipenda. bora ni teseke mie kuliko mwanamke
"Guud Excel naona mambo ya demand, supply, quantity n price lazima vikutanie in a certain point loooo wanikumbusha mbali wewe
Ni kweli Excel lakini ni wachache sana hukutania hapo,yan ni wachache,sas hapa tunazungumzia wale weng wasiokutania hapo