Je, utamsamehe mkeo?

Je, utamsamehe mkeo?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Umehukumiwa miaka 20 jela. Mkeo anaelewana na judge akupunguzie hadi miaka miwili. Ila amemuhonga huyo judge 'pale kati'.
Baada ya kutoka anakuambia ukweli wa kila kitu.
Utafanya maamuzi gani?
 
Naangalia movie yenye maudhui hayo hapa..
 
Namtimua tu....[HASHTAG]#Sitakagi[/HASHTAG] ujinga ati
 
Kwani ukienda kazini hawamgongi?
Sema inauma tu, ila maumivu ya mkeo kuliwa hayalingani na maumivu ya kuwa jela hata kwa miezi sita!
 
Kwani ukienda kazini hawamgongi?
Sema inauma tu, ila maumivu ya mkeo kuliwa hayalingani na maumivu ya kuwa jela hata kwa miezi sita!
Amekuokoa toka kifungo kirefu kuja kifupi..m
 
Agghhhh...
Kama ni movie, ngoja niendelee kujilewea tu hapa Malindi Moshi...
Mhudumu.....
Ebu ongeza Serengeti moja baridi..
 
Namtafuta tu mke wa judge twend sawa.
[HASHTAG]#sitakagi[/HASHTAG] ujinga kabisa #
 
Doh hilo litabaki kuwa donda ndugu kwavle amekuchana live bora akaushe nsijue na sio kuntamkia live kwamba ametoa mzigo ndio ntoke inauma ujue yan imagine yale mataam na vilio vyoote unavyopewa ww ndio judge nae kapewa pia inauma
 
Ingekuwa wewe ndio mkeo kahukimiwa kwenda jela wewe ungefanya nn? Kosa la kwenda jela utendr wewe kakufanyia feva eti umsamehe. Inabidi umshukuru sana sana. Mianaume bana!!!! Heeeeee heeeeee acha ncheke mie.
 
Miaka yote 20 atachukuliwa na wengi na wewe utamkosa kabisa. Ukitoka huko umeshazeeka na mkeo ameshachoka.

Hata hivyo sikubali mke wangu aliwe
 
Back
Top Bottom