Hayo ni maneno yaliyotolewa Wakati Rais aliposhindwa kupanda kivuko cha Pangani kwa kuwa ni kibovu.Ila Rais alifika hapo baadaye na kuwahaidi wananchi hao serikali itaweka kivuko hivi karibuni sababu mzabuni alishapatanikana.Hatuwezi kufanya majaribio kwa rais wetu,sisi atuwezi kukubali avuke katika mazingira haya yasiyo salama alisikika mmoja wa wasaidizi wa Rais akisema
Helikopta ile ya Kamanda Tossi haipo? Ingemvusha tu halafu ikaendelea na kazi yake ya kutafuta mapipa ya gongo,...
Hoja siyo Helikopta ya Tossi,ila umuhimuwa Wanachi wa taifa hili.Kipaumbele kipo wapi hasa.manaake hicho kivuko kimpigiwa kele muda mrefu na serikali haijawahi kukifanyia matengenezo .
What is our Priorities kama siyo wananchi,Serikali inasema hakuna pesa ila kila siku inanunu V8.magari yanayotumia mafuta mengi..kwenda Dodoma ni lita 200.serikali yetu ndiyo kila siku hapo dodoma wanakula Sherehe.
Ina maana watanzania wanaotumia kivuko hicho kila siku wanahatarisha maisha yao! Wanatumika kama nguruwe wa majaribio (guinea pigs?)
Kwanini wanatufanya sie Specimen.Hao ndio specimen mkuu.Mpaka siku hicho kivuko kizame ndio kiatonekana kilikuwa hatari.Hawa viongozi ni wanafiki sijapata ona.
Kwanini wanatufanya sie Specimen.
Nani anawpa kiburi cha kutufanya mandondocha?
Nataka kujua hiki kiburi wanakitoa wapi?
Kuna mtu anajua kuhusu hili?
Hii ni kwasababu siye ni mandondochaAnayewapa hiki kiburi ni sisi Wananchi na siyo mtu mwingine yeyote yule.Mind you jana naangalia taarifa ya habari Jk anasema kivuko chenyewe spanner mkononi halafu wale Wamama wa Kiswahili wanacheka kile kicheko chao cha kinafiki mpaka mwisho bila wao kutambua ya kwamba Rais hakupanda sababuya usalama wake.
Hii ni kwasababu siye ni mandondocha