Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,440
- 8,407
Mungu naye anahita nyumba nzuri ya Kumuabudia ili jina lake litukuzwe...Sasa hawa wanatukusanya aidha chini ya miti Au kanisa la Mabati Sasa Jifanye kama Umekosea Watembelee nyumbani kwao ndo utajua hujui Utakutana Mahekalu balaa.Kwanini uabudu kanisa la mchungaji kanjanja? Pia mchungaji anastahili kua na makazi mazuri
AmenKAZI YA KUCHOSHA, LAKINI INAONEKANA KAZI YA UVIVU
Mchungaji -
Hakuna anayejua:
Mchungaji anasikia nini,
Anachokiona,
Siri anazopaswa kuzihifadhi,
Majaribu anayokutana nayo,
machozi anayomwaga,
Huzuni anayovumilia,
Upweke anaousimamia,
Uchungu anaoupata;
Uongo anaoelekezwa na baadhi ya watu anaowatumikia!
Jinsi anavyowakubali na kuwapenda wale wanaojifanya kuwa wanampenda lakini nyuma wanamwangamiza
Jinsi anavyojaribu kuishi zaidi ya mwanadamu,
Tuhuma anazopaswa kuzinyamazisha; matarajio anayojitahidi kukabiliana nayo.
Wakati mwingine
hata Mchungaji mwenzio hajui mwenzake anapitia nini. Yupo hai kwa ajili ya Mungu na bado anaishi kwa ajili yetu!
Mchungaji & Uchungaji ni kitu ambacho hakuna Mtu anayeweza kuelewa kikamilifu au kuelewa!
Kifuniko cha Mchungaji ni "Siri"!
Mchungaji pia ni siri! Ni fumbo, ni ufahamu usioeleweka!
Kwa hiyo UNACHOWEZA kumfanyia ni kumwombea.
Siku isipite bila kusimama katika pengo kwa ajili yake!
Mtakie heri, & jitahidi kumwelewa!
Mfurahishe.
Kwa maana Mchungaji asiye na furaha ni janga kwa Kanisa la Mungu!
Mheshimu Mchungaji wako.........
Mwombee Mchungaji wako.......
Mtie moyo Mchungaji wako.....
Msherehekee Mchungaji wako......
Acheni kuwahukumu wachungaji kwa sababu ya yale mliyoyasikia au kuyaona...
Mungu akubariki unapomheshimu Mchungaji wako.
Siku Njema ya Wachungaji
WITO: TUWAOMBEE SANA WACHUNGAJI WETU.
Amina🙏🏿KAZI YA KUCHOSHA, LAKINI INAONEKANA KAZI YA UVIVU

Yeye mchungaji anajua tunayopitia waumini wake mpk tunapata sadaka za kuleta mezani pa bwana?
hilo halina shida ila mchungaji wanafahamu wanayopitia waumin mpk wanaleta mizigo madhabahuni?Sio hilo tuu la kuleta sadaka muumini ana majukumu yake ndani ya kanisa moja wapo ni hilo la kumwombea mchungaji wake
Sasa mkuu kuhusu mizigo kwani tunalazimishwa kutoa?maana hata kwenye maandiko hawajasema kutoa sadaka ni lazima lakini wamesema kutoa sadaka ni moyo,ukiwa na moyo wakutoa utatoa hautoangalia hayo mapito unayoyapitia,kutoa ni moja ya Ibada mkuuhilo halina shida ila mchungaji wanafahamu wanayopitia waumin mpk wanaleta mizigo madhabahuni?
Halafu wenyewe hayo magari Wanaomba waamini Wachange. Wewe ukitaka gari anakwambia piga goti nikuombee...! Mungu Turudishie ufahamu.