Je unaweza kuhonga nchi/urais kwa mtoto mzuri kisa papuchi kama Mugabe alivyotaka kufanya.?
Is it worth it?
Vp unaweza kuhonga kisa mkia? Au unaweza kuhonga kisa mauno?
Wengine hata mtoto awe mkali kiasi gani huwa tunajifikiria mara mbili kutoa hata nauli ya bajaj?
Ila mzee wa msoga kwa kusikilizia alikuwa hatari, ukipata story zake anapotembelea vyuo, nje, ofisi akiona vya kung'aa wanadai mpaka mate yanamtoka! Wakiona vile tu wanajuwa kuna Wilaya, Mkoa au cheo fulani mrembo atapewa tu! Au kuunganishwa kwenye trip zake nje! Hatari kabisa pale kati, hakujamuacha mwanaume salama..