Je unawakumbuka mastaa hawa?

yep...

kaole wa mwanzo hao kwenye early 2000

1. Lina
2.Kemi
3.Doti....sikumbuki vizuri jina lkn aliwahi kuigiza kama CD katika igizo moja
4.Zawadi
 
Nimewakumbuka wote except huyo wa tatu , nahisi simjui. Jamni warudi kwenye game tuone vitu vyao, ni wakali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…