Je unatambuaje kama umefungwa kichawi?

Mmmh kwenye dalili naona imenigusa ninaowasaidia kamwe hawarudishi dah
 
Porojo na propaganda
 
Mkuu uko njema
 
Dawa kubwa kuliko zote ni maombi ya Vita tu, unaiamuru ardhi Kwa damu ya Yesu Ufunuo 12:11 damu iliyomshinda Shetani.
Unaisemesha ardhi ya nyumbani kwenu, ulikooa au kuolewa na, ardhi ya mahali unapoishi na au ardhi yoyote iliyotumika kukuroga, Unaniambia hivi ardhi na ukiwa popote unaomba.
"Wewe ardhi, sikia neno la Bwana Mungu wako aliyekuumba, ardhi fungua kinywa chako umeze uchawi wote niliofanyiwa sawa sawa na Hesabu 16:29-33".
"Ardhi mtii Mungu wako aliyekuumba sawa sawa na Hesabu 16:29-33,fungua kinywa chako ardhi umeze uchawi wote juu yangu".

Omba Kama dk 3 hivi au zaidi, omba kila Siku hadi uone matokeo.
Ukisema eti na wewe utoe uchawi Kwa kuroga, Wachawi watakutesa mno, Wachawi wakishakuroga wanakuwekea alama, alama hiyo popote unapokwenda Wachawi wengine wataiona na wataendelea kukuroga tu.
Na wakijua unatumia Dawa za uganga kujinasua, Wachawi huwa wana ushirikiano Sana, wataalikana hadi Wachawi wa Malawi waongezeze dawa za kukuroga ambazo kuzitegua ni mbinde.
Dawa ya uchawi ni kumtegemea Mungu wa kweli Kwa kufanya maombi ya Vita, hapo hata waje Wachawi wa dunia nzima hawakuwezi maana ni hadi wamshinde Mungu ndo wakupate na wewe, kitu ambacho hakiwezi kutokea hadi watakuacha wenyewe .
 
Nimekuelewa sana mpaka nahisi na wewe ulikua mchawi siku za nyuma ila ukaamua kumrudia mungu kwa sababu unazozijua wewe mwenyewe. ila hongera sababu kumrudia mungu ni jambo jema sana.
 
Aisee mimi nahisi nimefungwa maana cyo bure, watu nawakopesha sana pesa zangu lakini hawanilipi, na pia watumishi wote wa serikali pamoja na wanaosubiri ajira wote WAMEFUNGWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…