Je unataka kuwa maarufu?

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
45
Kama unataka kuwa maarufu Tanzania na duniani kote kwa muda mfupi tena bila gharama, chukua kitoto cha nguruwe
kakifungie msikitini, piga chata lako hapo, halafu sikilizia.

Warning: Don't try this!
 
ukitaka ujute kuzaliwa jaribu mchezo huo
 
Eti ukiwa na njaa na hakuna chakula kula,lakini usifurahie
 
ukiutaka nenda upanga headquarter ya jw urushe mawe na kuvunjaa vioo vyao vya magari na ukiweza kunya kbs getini kwao.
 
Kama unataka kuwa maarufu Tanzania na duniani kote kwa muda mfupi tena bila gharama, chukua kitoto cha nguruwe
kakifungie msikitini, piga chata lako hapo, halafu sikilizia.

Warning: Don't try this!

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…