Je, unataka kuoa? Karibu ujifunze

Je, unataka kuoa? Karibu ujifunze

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2022
Posts
1,575
Reaction score
3,106
Ni vyema kusema kwamba kIla mwanadamu anastahili wa kufanana naye.Hakuna mtu anapenda kuishi pekeyake Milele.

Kuna vigezo ambavyo vikizingatiwa katika kutafuta mwenza wa ndoa basi utaishi Kwa furaha Kwa asilimia nyingi (95% na kuendelea). Hakikisha unatafuta mwenza mwenye vigezo vifuatavyo.

1. Kwanzo awe mwanamke ambaye wewe ni mkombozi wake katika Kila kitu. Namaanisha akutegemee wewe mwanaume Kila kitu kuanzia pesa, mavazi na vingine vingi. Usimtafute ambaye anaweza kujitegemea.

2. Tafuta mwanamke ambaye yupo tayari kukusikiliza yote unayomwambia kasoro mabaya. Katika kipindi cha uchumba usimvumilie mwanamke ambaye hayupo tayari kukusikiliza amri yako hilo ni bomu kwako. Usijidanganye atakuja kubadilika mbeleni Tena hali inaweza kuwa Mbaya mara mia kuliko mara ya kwanza.

3. Tafuta mwanamke ambaye hafanyi kazi Ili umweke uhausgelo iwe ndyo kazi yake kwenye nyumba. Asiwe mtu wa kutafuta kipato awe mama wa nyumbani

4. Tafuta mwanamke ambaye anakuheshimu na akiwa ana akili za wastani au hawezi waza kama feminist au hajasoma itakuwa advantage pia kwako.


5. Usimchekee anapokosea kipindi cha uchumba Ili akujue tabia yako ila ukimlea ukimuoa atakufanyia vituko na dharau.

6. Usijenge naye mazoea ya kijinga. Mpende pia.

7. Akikuomba umfungulie biashara usidhubutu mwambie utahudumia Kila kitu

8 Awe ni mwanamke wa kusambaza Upendo na furaha Kwa mumewe na watoto wake. Awe ni msaidizi Kwa mumewe na watoto wake na sio mfanya kazi.

Kikubwa atii Sheria unampa ndani ya nyumba Yako na awe na furaha kuwahudumia wewe na watoto wenu .Mwanamke sio mtafutaji yeye ni kiwanda Cha kuzalisha watoto tu na msaidizi (Mfanya kazi za nyumba na kulea watoto)

Anatakiwa kuishi Kwa kusaidia na kuleta furaha Kwa mume na watoto wake sio awe kisirani .

Kama Kuna la ziada ongezeeni wapendwa.
 
Back
Top Bottom