Huo mfumo ni mzuri lkn una bugs za kufa mtu, wewe kama una lollipop tulia huko huko kwanza jamaa watoe final update ya huo mfumo kwenye C8,maana hata wao wameliona hilo wakatoa update jinsi ya kurudi kwenye lollipop. Na kama una huo mfumo hakikisha hiyo update uliyo dawnload ikikamilika inakuwa na 867.94 MB.Kama umepata chini ya hapo chunguza vizuri simu yako ipo sehemu itakuwa na shida.