ASHA NGEDELE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 784
- 327
Tatizo kubwa la watanzania wengi ni kuagiza magari kwa kuogopa risk ya kutuma pesa kwa wasiowajua huko Japan na muda ambao gari huchukua kufika Dar na nchi zingine za Afrika. Pia kuna wauza magari matapeli wengi sana pamoja na fake clearing agents. Hii hupelekea watu kununua magari kwenye showrooms ambayo huuzwa bei kubwa kufidia gharama nyingi sana wanazotumia kununua na kuhifadhi gari hizo achilia mbali mikopo wanayochukua bank.
Nafanya biashara hii ili kusaidia kwenye hili kwakua tayari nishatengeza network nzuri na wauza magari Japan pamoja na clearing agents ambao wanafanya kazi zao kwa weledi.
Kinachofanyika ni rahisi sana, unanipa specs za gari utakayo kisha tunakubaliana bei, ambayo ofcourse itakua chini ya market price kisha unatoa advance tutayoandikisha (minimum 25%) ya bei ya gari kisha naanza mchakato.
Kama utahitaji kuhusisha wakili kwenye makubakiano haya gharama hio itakua ya kwako.
Gari itapofika utamalizia kiasi kitachobaki nakukabidhi gari yako.
Kwa mawasiliano zaidi ni PM ama whatsapp kwenye 0787515333