Je? Unatafuta Viwanja na Mashamba

henrymfoy

Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
7
Reaction score
1
Viwanja vinapatikana katika maeneo yafuatayo: Bunju, Madale,Goba, Salasala,Kigamboni,Kibamba,Charambe-Temeke na Chanika Na Mashamba Mkuranga, Kimanzichana,Bagamoyo na Mlandizi. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi +255 719 116 757Viwanja vinapatikana katika maeneo yafuatayo: Bunju, Madale,Goba, Salasala,Kigamboni,Kibamba,Charambe-Temeke na Chanika Na Mashamba Mkuranga, Kimanzichana,Bagamoyo na Mlandizi. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi +255 719 116 757
 
Mkuu ungeweka na bei ingekuwa poa sana,vp hivo viwanja vya goba na kimbamba mnauzaje?
 
Boss ungefungua ofisi au atleast tengeneza ,maana kuna sehemu nyingi unaonyesha una cover lakini hukutoa details zozote, au unataka tuwasiliane na wewe halafu ukatafute kiwanja au uwasiliane na madalali ndio utupe bei,sehemu kilipo na ukubwa wake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…