Mwanaume: Je, unapendwa au unatumiwa?

Mwanaume: Je, unapendwa au unatumiwa?

Challya

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
469
Reaction score
609
Mapenzi ya sasa yana changamoto sana ukiwa mjinga itakula kwako.

Siku hizi kuwa pekee yako kwa mtu imekuwa ni nadra sana. Saivi wadada wengi anakuwa na mtu anae mpenda na anayemtumia (wa pesa).

1. Huyu anayempenda- Huyu ndio mtu anaeendana nae, yaani huyu mdada hujisikia raha sana kusex nae, na jamaa akitaka mzigo muda wowote hupewa. Hata vizinga huwa hapigwi kwasababu yupo moyoni kwa demu na demu haoni shida kumuhonga hela anazopewa na danga lake na mara nyingi demu akishika mimba ya huyu huwa ni ngumu sana kutoa.

2. Anayetumiwa(danga)- Yaani huyu hapendwi kabisa demu yupo nae tu kwaajili ya shida basi. Yaani huyu huwa ni mwenye pesa. Hapa mara nyingi mademu wenye akili huwatumia hawa ili kutengeneza utajiri yeye na mwanaume wake ampendae.Hawa hupigwa vizinga vya mwendokasi na wakiigiziwa kwamba wanapendwa ila wakifulia tu huachwa na demu hutafuta danga lingine. Hawa sex hupewa mara chache na masababu kibao na ikitokea bahati mbaya kanasa mimba ya huyu demu hutoa faster.

Soma kuhusu Wanawake: Mwanamke: Je, unapendwa au unatumiwa? - JamiiForums
 
Asante kwa picha uliyoambatanisha kwenye uzi wako.

Sisi tulio single kwanza muda huu tutakuwa wapenzi wasoma comments ili tuzidi kuongeza taaruma katika maisha ya mahusiano.
 
Inaonekana una experience ya haya mambo.

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
karibu 98% wanawake wanaomba sana pesa hivo kwa mujibu wa uzi wako wanaopendwa hapo watakua 2% ndo wanaokula mema ya nchi
 
Kama hyo picha hapo juu ndio haina yamademu unaowasemea nakushangaa sana.

hyo ni kama swala ndan ya hifadhi sasa kama wenzako wanaenda kutazama na kuacha huko huko we umeenda kubeba na kupeleka nyumban nikupe pole tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi wanaume wanaotumiwa na wanawake nao tayar hua na familia na maisha yameshanyooka..kwa hiyo haoni shida kuonga..hii tunaita both team scores


Sent using Jamii Forums mobile app
🙏🙏🙏🙏 Na wanajua fika kuwa wanatumiwa na wanakulaga tunda na Viagra na wanaongoza kuzibua vyoo hakuna lenye afadhali
Mwisho wa picha ni maumivu kwa marioo
 
Ukiona demu anatoa mimba yako bila kukushirikisha,jua hakupendi bali anapenda mali zako.
 
Mara nyingi wanaume wanaotumiwa na wanawake nao tayar hua na familia na maisha yameshanyooka..kwa hiyo haoni shida kuonga..hii tunaita both team scores
Eti mambo yamenyooka sio wote ww usijidanganye.....wengine hadi wanasahau familia unakuta kwake wanakula kila siku mboga za majani kama mbuzi lkn kwa mchepuko wake ni kuku tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Na wanajua fika kuwa wanatumiwa na wanakulaga tunda na Viagra na wanaongoza kuzibua vyoo hakuna lenye afadhali
Mwisho wa picha ni maumivu kwa marioo
Lkn wanawake siku hizi nao wamekuwa wajanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom