Pool yenu ipo wapi?gharama kiasi gani?kwa muda gani?Jifunze kuogelea, upunguze kitambi na mafuta yaliyozidi mwilini. Tengeneza tambo sita(six packs). Na upunguze hatari ya kupata maradhi kama saratani, kisukari, uwezo mdogo wa kushiriki tendo la ndoa na magonjwa ya moyo.
Tunafundisha strokes(styles) zote kwa wanaoanza na wanaojua kuogelea kuanzia umri wa miezi 9 na kuendelea.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia nambari; 0659 154 681.
mimi napenda ila kila nikifundishwa nakunywa maji mengi sana[/
Nashukuru kwa swali lako, pole miss chagga kwa tatizo la kunywa maji unapojifunza ila usiogope ni tatizo linalowapata watu wengi hata wanaojua kuogelea. Jambo la kuzingatia ni mtu anaekuelekeza au kukufundisha na wewe ku-relax unapokuwa kwenye maji usi-panic.

Mmh eeheeee nipandishwe mlima nitarelax kwenye maji mwalimu inabidi tuanze na kipengele cha kurelax alafu ndiyo tuingie kwenye maji
Kiongozi jibu maswal yote..sio mbaya ukatuma taarifa iliyo kamilika kama tulivyoouliza hapo juu.mimi napenda ila kila nikifundishwa nakunywa maji mengi sana[/
Nashukuru kwa swali lako, pole miss chagga kwa tatizo la kunywa maji unapojifunza ila usiogope ni tatizo linalowapata watu wengi hata wanaojua kuogelea. Jambo la kuzingatia ni mtu anaekuelekeza au kukufundisha na wewe ku-relax unapokuwa kwenye maji usi-panic.
Ahsante kwa ujumbe wako, ila inawezekana kabisa haukusoma tangazo hadi mwisho, kwa maana tumeandika kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia nambari tulizozitoa. Ni mwalimu na msimamizi wa mchezo wa kuogelea aliethibitishwa na shirikisho husika duniani.Nyie ni kina nani? mnapatikana wapi? na huwa mnafundishia wapi na gharama zenu zenu ni kiasi gani na kwa muda gani? usiwe unaweka tangazo lako kihuni huni tu unafikiri kila anayesoma hapa ni muhuni mwenzio. Wengine tuna PhD zenu bwna
Posted by: SUPU YA MAWE (PhD Holder)
Asante mpendwa, huwa hatumchagulii mteja eneo la kufundishiwa ila tunaweza kukusaididia kuchagua kwa vigezo. Gharama hutofautiana kulingana na umri, eneo na hatua utakayoanza kujifunza na kuhusu muda, hiyo itategemea na ratiba ya anayejifunza, anachokihitaji na uwezo wake wa kuelewa . Inawezekana hata ndani ya siku mbili.....Pool yenu ipo wapi?gharama kiasi gani?kwa muda gani?
asante mkuunimekuelewa, tunakuahidi hautajuta kuwa mwanafunzi wetu. Karibuni
Kiongozi jibu maswal yote..sio mbaya ukatuma taarifa iliyo kamilika kama tulivyoouliza hapo juu.
sijaona swali mbona
Huu ni utapeli tu, hamna swimming pool wala hamjui mtaenda kufundishia wapi wala gharama hamzifahamu. Ninachokiona hapa ni kwamba, nyie ni kikundi cha wahuni wafulani mnaojua kuogelea mmejikusanya ili muweze kupata pesa. Kwa taarifa yako si kila tom na jerry anaweza kuwa swimming trainer.Ahsante kwa ujumbe wako, ila inawezekana kabisa haukusoma tangazo hadi mwisho, kwa maana tumeandika kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia nambari tulizozitoa. Ni mwalimu na msimamizi wa mchezo wa kuogelea aliethibitishwa na shirikisho husika duniani.
asante ubarikiwe sana. kama umefanikiwa kuwa na PhD na ukawaweza kupost ulichokipost basi akili yako naikubali na MUNGU azid kukubariki kila iitwapo leo.Huu ni utapeli tu, hamna swimming pool wala hamjui mtaenda kufundishia wapi wala gharama hamzifahamu. Ninachokiona hapa ni kwamba, nyie ni kikundi cha wahuni wafulani mnaojua kuogelea mmejikusanya ili muweze kupata pesa. Kwa taarifa yako si kila tom na jerry anaweza kuwa swimming trainer.
Mkajipange tena kisha mrudi, kawaambie waliokutuma kwamba nimekutana na watu wenye PhD zao hawawezi kuleta watoto wao kijinga jinga
Yaani mtu mzima na akili zake awape nyie wa.huni mtoto wake wa miezi tisa mumfundishe kuogolea. Unafahamu mtoto wa miezi tisa anakuwaje au unaongea tu?Jifunze kuogelea, upunguze kitambi na mafuta yaliyozidi mwilini. Tengeneza tambo sita(six packs). Na upunguze hatari ya kupata maradhi kama saratani, kisukari, uwezo mdogo wa kushiriki tendo la ndoa na magonjwa ya moyo.
Tunafundisha strokes(styles) zote kwa wanaoanza na wanaojua kuogelea kuanzia umri wa miezi 9 na kuendelea.
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia nambari; 0659 154 681.
ndugu SUPU YA MAWE umri huo watoto hawawez kuogelea peke yao ni lazima wavalishwe floater, na huwa wanakuwa chini ya uangaliz wa mkufunzi nadhan hili kwa mwenye elimu ya swimming haliwez kuwapa shida. Sasa wewe unaniita muhuni wakati ww na PhD yako hufahamu mtoto wa miez tisa anaweza fundishwa swimming............. labda ni kwambie mtu MWENYE AKILI ZAKE TIMAMU anaweza kunielewa Ila sio dhambi ww kutokunielewa .Yaani mtu mzima na akili zake awape nyie wa.huni mtoto wake wa miezi tisa mumfundishe kuogolea. Unafahamu mtoto wa miezi tisa anakuwaje au unaongea tu?
Mmh eeheeee nipandishwe mlima nitarelax kwenye maji mwalimu inabidi tuanze na kipengele cha kurelax alafu ndiyo tuingie kwenye maji
twende mimi nitakufundisha hadi kuelea kwenye maji... hicho hicho chuo chao wataniajili kama head teacher
...