Je, unajua Jambo ulipendalo (Hobby)?

Je, unajua Jambo ulipendalo (Hobby)?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Watu wengi wanapuuza hiki kitu ila ni kitu cha msingi sana mtu kujua jambo ulipendalo. Hii itakusaidia kujipa raha mwenyewe na kujiliwaza pale unapopata matatizo kabla ya kutafuta furaha yako kwa mtu mwingine.

Vile vile, inasaidia kujiliwaza mwenyewe ili upate nguvu mpya ya kuweza kusonga mbele baada ya msongo wa mawazo (stress) na matatizo mengine.

Je, wewe unajua jambo ulipendalo (Hobby)?
 
Hata mimi sijui hili...lakini ni raha sana kujua hobby yako kwani ndio mwanzo wa furaha maishani mwako....kila siku najitahidi sana kujua hobby yangu ili niwe na furaha maishani...
 
Hobby Zangu Ni Mziki, Kuogelea Na Kusafiri. Napenda Sana Hivi Vitu Isipokuwa Muda Nao Ni Changamoto Sana. Ninapopata Nafasi Naenda Bagamoyo, Kigamboni, Mwandege, Coco N.K. Nikiwa Na Earphone Zangu Zenye Mdundo Wa Nguvu Na Play Lists Nzuuuri Kabisa
 
Mimi hobby yangu muziki na kutembea mahali tulivu nikiwa peke yangu
 
aisee hapa ni series tu, akina BAEK SAN
 
Kusikiliza mziki na kusafiri ila kusafiri hela tu ndo inanikwamisha la sivo ningekua nachuana na jk kwa safari nyingi
 
1. Kusafiri.
Napenda kusafiri safiri, yaani km ni kazi inijie ya travel 98% niwe field za sehem tofauti tofauti.
2. Kucheza football
3. Mziki, nisikilize mziki mzuri niupendao toka kwa sub woffer nzuri (gospel tracks). Nikipata hiyo yote mitatu kwa ukamilifu kabisa, yaani huwa nahisi sitakufa wala sitazeeka. Dah! maisha raha sana aisee, nikikosa nymbo nianze kuimba mm mwenyewe kwenye instrumental bits
 
Mimi kusoma soma novel, kupikapika na kushinda mwenyewe mwenyewe
 
Mim Napenda Kuwa Ndan Ya Gar Tu Huku Tnafka Maeneo Ya Kula, Kuchimb Dawa Story Za Utani Ndan Ya Gar(kusafir Na Washkaj)
Pia Napenda Muzik Ya Laiv
Na Lastly Napenda Sana Kucheza Kikapu
 
Napenda kusafir, kuwa na marafiki tukipiga story, kudance, kuimba na kukaa sehemu tulivu nikiwa na frends
 
Duh, mm napenda totoz mixer mitungi every w'nd lazma nakama cyo majukumu ingekua kila cku.
 
Mim Napenda Kuwa Ndan Ya Gar Tu Huku Tnafka Maeneo Ya Kula, Kuchimb Dawa Story Za Utani Ndan Ya Gar(kusafir Na Washkaj)
Pia Napenda Muzik Ya Laiv
Na Lastly Napenda Sana Kucheza Kikapu

mi hobby yangu ni shopping and travelling for leasure, lol when it comes to these two moments moyo wangu hujawa na furaha asilan
 
Napenda sana kubadilisha mawazo mbalimbali na friends hasa kwenye mitandao ya kijamii kingine km nikiwa hovyo basi kugegedana kunanifanya kuwa freshh kabisa.!!
 
Back
Top Bottom