SANA SEMA NJIA ZANGU NI GENTLEMAN AGREEMENT AU NON ALIGNMENT REACTION .........KIMYA KIMYA TUUU AU SILENCE MODE............KAMA JANA NILIFIKA SAA NNE USIKU MARA PAAAAAAAHHHH DAH ASEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE..... ASUBUI KUAMKA HAHAHAHA BORA YA JANA..........ILA OF COURSE KUHAMA HAPA NI BIG NO MAANA NDO MAHALI SAHII NTAJIPATIA KIUCHUMI.MAANA SAVINGS NAZOWEKA NI BALAAAHii ni changamoto sana kwa watu wengi.
Itakuwa hivyo maana mtu kama huna hanari naye hawezi kukuletea mambo ya umbeyaMi naona wewe unapiga matukio ya kuingiza mademu ndo maana unasemwa...
Unadharau basi, haiwezekani watu wakutete tu, utakuwa husalimii dogo..bize na kazi
Tumepanga watano nina mwaka wa 3 hamna anayejua ndan kwangu kukoje. Ni salam na bill za nyumba nmemalizaPicha linaanza .....una panga mahali wapangaji wanoko wao kila siku majungu tuu ,, maneno machafu hata kufanya ya maana hamna ....kazi kuu ni kuseng'enya wapangaji wachakalikaji
ukitumia njia ya ki gentleman agreement kama vile kuwapotezea , no discussion , ni wewe tu na maisha yako na kichwa chako....wana kuletea maneno chungu mzima ....kama anajiona kayapatia , mkorofi.....n.k
je wewe ulitumia au una tumia njia zipi kuishi nao ?
ISSUE ZA KUHAMA MAHALI SIO ...WEEE UNAONA HAPO NDO PAKUJITAFUTA...NA KUJIPATA KIUCHUMI.....BIG NOOOOOOOOOOOOOOOO KUHAMA...........
KARIBU.