Je unaipenda CCM au CHADEMA

Kuna wengine wanaishi CDM ila wanakula CCM,na wengine wanakula CDM na kuishi CCM hapo sasa inakuaπŸ’’
 
Tumeipenda wenyewe(ngangaaaa)
Chaguo letu Milelee.....................
Watajijua wenyeweee..............
Na wavimbe wapasukee...............


Endelea mwenyewe sasa
 
Mchana Ccm Usiku Chadema!!!!
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ€£
Sasa Watu Wa Namna Hiyo Kwenye Utawala Wangu Nitalala Nao Mbele
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Hamna kitu hapo hawana maajabu yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…