Je unaijua Afya Mingle App?

Je unaijua Afya Mingle App?

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,299
Reaction score
6,102
Hello bosses and roses....

Afya Mingle App ni suluhisho lako kwa mambo ya Afya na Mahusiano.

Ni app pekee hapa Tanzania ambayo inakuwezesha kuwasiliana na madaktari wabobevu lakini pia kupata mchumba unaeendana nae.

Tunajali sana faragha za watumiaji wetu na ndio maana hata kwenye kipengele cha kutafuta mchumba sio lazima wewe kuweka picha yako, bali utaweka maelezo tu na mtu atakaevutiwa na wewe atakufuata inbox ambapo mtaweza sasa kushare picha zenu kama mkikubaliana.

Vile vile madaktari wetu wanajali afya yako na faragha yako, utaweza kuwasiliana nao na wakakuhudumia ipasavyo. Hivyo kabla haujaingia gharama za nauli kwenda hospitali, fungua kwanza Afya Mingle App uongee na daktari bure kabisa.

Huduma inapatikana bure kwa siku 2 baada ya kujiunga na baada ya hapo utalipia mia tano tu (500) kwa wiki, au 1500 kwa mwezi.

Vile vile kuna dondoo mbalimbali za afya zilizoandikwa na wataalamu wetu katika maswala ya lishe na afya ya uzazi.

Karibuni sana.

Bofya hapa kudownload Afya Mingle - Apps on Google Play

Au tembelea moja kwa moja afyamingle.com

Lakini pia unaweza kutufutilia kupitia instagram Login • Instagram
 
Back
Top Bottom