SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,517
- 5,049
Wapi bible imetaja marekani au papa ulete verse usilete mafumboHiyo ndiyo maana halisi ya ule msemo kwamba Mungu asemapo siyo, hakuna yeyote wa kupingana Naye.
Wakati wa vita vya pili vya dunia, Adolf Hilter alikuwa amekusudia kuwa mfalme wa dunia nzima.
Lakini alishindwa vibaya sana licha ya kuwa na jeshi imara, lenye ari na silaha madhubuti na za kisasa wakati huo.
Kwa nini? Kwa sababu Mungu alikuwa ameshatabiri kwamba himaya kubwa ya dunia baada ya Dola ya Rumi ingekuwa Marekani chini ya hisani ya upapa.
Hata China au Urusi tunayoiona leo ikielekea kama kuipiku Marekani, wote hao hawataweza kamwe kushinda.
Wataishia kuunda silaha nzito, za kutisha ambazo hazijawahi kuwepo ulimwenguni, lakini mwisho wa siku watatokomea kwa fedheha kama Adolf Hitler.
Marekani atabaki kuwa kinara ili kutimiza unabii pamoja na hisani wake Mvatikano.
Marekani yupo kuutekeleza mpango wa Mungu kwa mema au kwa mabaya hadi mwisho wa wakati.
Na anafanya hivyo vizuri sana ama anajua au hajui.
Mungu asemapo Ndiyo, hakuna mwanadamu wa kumpinga!
Hapana. Aliwaona wanazidi kuwa wapumbavu kadiri siku zilivyokuwa zikiendelea.Kwahiyo Mungu aliogopa kwamba asipowachanganya lugha huo mnara utamfikia mbinguni?
Mungu alitaka wanadamu watawanyike duniani kote wasiishi eneo moja, wao wakiongozwa na Nimrodi walitaka wasalie eneo moja tuKwamba hapo mwanzo binadamu waliamua kujenga jengo kubwa na refu katika mji ule na kilele chake ni kifike mbinguni.
Kwamba Mpango huu haukumpendeza Mungu aliyewachanganyia lugha watu hao, wakashindwa kuelewana na baadae walilazimika kuachana na mradi huo.
Nawasilisha[emoji120]
Ngoja nikuweke sawa ewe mwana wa uasi.Eti Mungu anatumia USA kukamilisha maneno yake, hizi ni chai, kikubwa ni kuamini tu ilimradi siku zisonge.
Nami nikuulize swali?Wapi bible imetaja marekani au papa ulete verse usilete mafumbo
Sidhani kama unajua kuisoma hiyo Biblia hata.Mambo ya dini samutaimu yananichanganya..
Kuna kipengere Kwenye biblia kinasema samehe 7x70, kipindi hicho Adamu na Eva wake walikula tunda moja tu wakapewa adhabu kali sana bila kusamehewa na tena Kwa kosa la kwanza tu🤔
Logic Ad hominem!Nashawishika kudhani kwamba maana ya uongo kwako ni kitu chochote usichojua au kilicho nje ya upeo wa uelewa wako.
Kwa mantiki hiyo, hata mavumbuzi na magunduzi mengi ya sayansi pengine yalikuwa uongo kwako hadi pale yalipogundulika.
Au, mwenzetu, huenda umewahi kuzurura huko angani kote ukathibitisha hakuna mbingu?
Ni upumbavu usioponyeka kujitia upumbavu kimakusudi.
Wewe unaona hii ni kweli si story za watoto wadogo hizoooKwamba hapo mwanzo binadamu waliamua kujenga jengo kubwa na refu katika mji ule na kilele chake ni kifike mbinguni.
Kwamba Mpango huu haukumpendeza Mungu aliyewachanganyia lugha watu hao, wakashindwa kuelewana na baadae walilazimika kuachana na mradi huo.
Nawasilisha🙏
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.Niliwahi kukuuliza kwenye ule uzi wa Israeli vs Palestina iwapo unaamini kuna UWEZEKANO wa uwepo wa Mungu, ukasema Ndiyo.
Angani mpaka wapi?Sasa hizi taarifa zingine kuhusu Babeli na zinginezo ni baadhi tu ya vithibitisho husika.
Labda nikuulize na hili leo.
Je, unadhani upo uwezekano wa wanadamu kuujenga mnara mrefu kwenda angani kama isemavyo Biblia?
NB: Sikuulizi iwapo mnara ulijengwa au la. Nazungumzia uwezekano kwa kipindi tajwa katika Biblia.
Jibu kisomi. Achana na hoja mkataa (dismissive arguments), maana hazisaidii kitu.
Sikiliza hapaKwamba hapo mwanzo binadamu waliamua kujenga jengo kubwa na refu katika mji ule na kilele chake ni kifike mbinguni.
Kwamba Mpango huu haukumpendeza Mungu aliyewachanganyia lugha watu hao, wakashindwa kuelewana na baadae walilazimika kuachana na mradi huo.
Nawasilisha🙏
hapana binaadamu alitaka kutengeza historia na sio kutafuta mungu hivyo ndivyo bible inavosema.Mnara kweli usingefika mbinguni.
Ila kilichomshtua Mungu ni ile dhamira ya Binadamu kumtafuta akawasambaratisha.
Kama wangeendelea katika hali ile wangefanya mambo mengi dhidi yake.
Hakuna sayansi inayopinga dhana fulani bila kuwa na uthibitisho wake kamili.Mimi kusema uongo ni haki yangu maana mimi nina amini katika science research, na mpaka sasa hakuna mwana-science aliyekuja na hata theory tu ya kusema there's heaven on the sky..
Mkuu, unadhani haiwezekani au haipo kihistoria?
Je, unaamini kwamba Nuhu alijenga safina iliyotumika kuwahifadhi watu 8 dhidi ya Gharika?
Je, unaamini kwamba enzi ya Nuhu kabla ya Gharika ulimwengu ulikuwa na mabilioni ya watu, tena wenye akili ndefu (in Manara's voice) na teknolojia bora mno?
Je, unaamini kwamba Adamu na Hawa ndio wazazi wetu wa kwanza?
Je, unaamini kwamba Mungu aliumba mbingu na nchi, na kwa muda wa siku sita akaratibu mazingira yake na kuwahuluku viumbe hai?
Je, unaamini kwamba Mungu yupo?
Sijui unanielewa???
Hii ni kwa mujibu wako. Kauli tu bila vithibitisho vya maana ni pumba tupu.