Baab_kubwaproducts
New Member
- Oct 19, 2018
- 3
- 0
Je wajua maajabu ya Tangawizi?
Babu Kubwa Enterprises ni kampuni inayojishughulisha na uzalishaji, utengenezaji, ufungaji na usambazaji wa vyakula, matunda na viungo.
B.K Enterprises wanakuletea Unga bora wa lishe, Unga wa mbegu za Maboga, Asali, na Unga wa Tangawizi n.k.
Je unakula lishe iliyo sahihi kwa mwili wako? Je wajua ya kwamba mwili wako unahitaji virutubisho sahihi vinavyoendana na mikiki ya shughuli zako za kila siku!
“Anza sasa kutumia chakula kama dawa, ili kuepuka kutumia dawa kama chakula huko mbeleni “
B.K Enterprises inakuletea unga bora wa Tangawizi, wenye maajabu yafuatayo:-
Huondoa sumu mwilini, Huua bacteria ndani na nje ya mwili, huondoa uvimbe mwilini, huondoa maumivu ya koo, hutibu saratani ya tezi dume, hutibu kansa inayosababishwa na kupata choo kigumu muda mrefu, huzuia damu kuganda, hutibu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi, huimarisha afya ya figo n.k
Bei ya Tangawizi ya unga kwenye kopo la ujazo wa 100 Grams, bei yake ni shilingi 2500 kwa bei ya jumla na shilingi 3000 kwa bei ya rejareja.
Kwa Dar-Es-Salaam, bidhaa zetu zinapatikana Kigamboni, Upanga, na Kinyerezi au unaweza kutupata kwa nambari ya simu 0713629999